MASWALI NA MAJIBU
Unaweka oda, kisha tunakuletea.
Dar es Salaam utapokea mzigo wako ndani ya dakika 40, mkoani utapokea kesho kama utafanya malipo leo.
Mkoani analipia kisha unatumiwa mzigo wako. Kama upo Dar es Salaam, utalipia baada ya kupokea mzigo wako.
Je pesa yangu iko salama ?Ndio, pesa yako iko salama kwakuwa tumesajiliwa kisheria na unalipia kwa Lipa namba ya kampuni.
Naweza kurudisha bidhaa?Ndio kama bidhaa ni mbovu au ina kasoro unaweza kurudisha tukakubadilishia.
Bidhaa hairudishwi kama haina kasoro yoyote.
Mzigo ukipotea inakuwaje ?Tukishakutumia mzigo wako mkoani, tutakutumia risiti ya kupokelea mzigo kwenye kampuni ya basi husika, endapo ikitokea mzigo ukapotea; utafuatilia kwenye kampuni husika kwa kutumia risiti ya mzigo tuliyokupa.
Je bidhaa zenu ni Original?Ndio , bidhaa zetu ni Original, na asilimia kubwa ya bidhaa zetu zina warranty.
Mnapatikana wapi ?Tunapatikana Mikocheni , nyuma ya shoppers Plaza.
SHOP NOW